Machale
yalianza kunicheza pale nilipokuta picha za ajabu kwenye simu ya mpenzi
wangu akiwa na rafiki yake wa kike chumbani wakifanya mambo yanayo husiana na usagaji, Picha hizo zilinitisha ikabidi nimuulize hakuonyesha kujali nakuona nikama kitu cha kawaida, baadhi, ya picha walionekana wakikiss, na nyingine kukumbatiana. Ushauri wadau nimpige chini au vipi?
Saturday, 31 May 2014
LAAANA: MREMBO AACHIKA NA KWENDA KUISHI NA DEMU MWENZAKE(KUSAGANA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment