Kumekuwa na kamtindo ka wasanii wetu hapa TZ kuweka picha ya vitu wanazonunuaonline na wengine kuweka kwa ajili ya mauzo ili wapate cha kuongelewa na mashabiki wa hapa bongo.
Mwanadada anayefanya poa kwnye tasnia ya uigizaji Wastara Juma
amewaweka mashabiki wake katika hali ya kutokujua baada ya kuweka picha
akiwa ndani ya gari Aina ya HUMMER na kuzua maswali kwa mashabiki wakiuliza ni lake au si lake. Wapowaliyompa hongera kama gari ni lake na wapo waliyomponda na kusema anatafuta kick
0 comments:
Post a Comment