Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Thursday, 26 June 2014

LAANA TUPU: MADENTI WAPIGA PICHA ZA UTUPU WAKISAGANA HOTELINI, DUNIA INAKWENDA WAPI

katika hali inayoonyesha wimbi la mmomonyoko wa maadili hapa tanzania, wasichana wengi 
wameendelea kujihusisha na mchezo mchafu wa usagaji, hawa ni wasichana ambao walinaswa 


wakiwa hotelini huko sinza vatikani jijini dar , wasichana hawa wlikuwa  wakipiga picha kama mtu na mpenzi wake kabisa dah jamani tunaelekea wapi sasa?


Blogger Tricks

HIZI NDIZO PICHA ZA NUSU UCHI ZA MWANAFUNZI WA CBE DODOMA ZILIZOMTIA MATATANI. ADAIWA KUTOA URODA KWA MAPEDESHE KAMA PIPI. MCHEKI HAPA

Hizi ni baadhi ya picha za wanafunzi wa chuo cha biashara CBE Dodoma ambazo zipo mtaani zimevuja baada ya kuchanganya ma bwana mapedeshee wa zaidi ya mmoja katika sehemu tofau tofauti kati kati ya mji wa Dodoma,
 
Pia chanzo cheti cha habari kilishindwa kuwataja hao mapedeshe kwa kuwa watu maarufu sana kwa kuhofia usalama wao:tunakishukuru chanzo chetu cha habari kwa kufichua maovu kwani tunapiga vita maovu yanayofanywa na wanafunzi wa vyuo vyoto pamoja na jamii nzima hatutasita kufichua


WAKUBWA TU..PICHA ZA MREMBO SINTAH AKIWA AMEJIACHIA KATIKA POZI TOFAUTI NI KAMA ULAYA VILE..ZICHEKI HAPA

Zari 
i dont give a damn about what
u heard recognize what the hell
you see
forget about the price tag
sexy
stunning
dont change so pipo will like you,
 be yourself and the right
pipo will love the real you 
great minds discuss ideas
small minds discuss pipo
Katika maisha haya na dunia hii, uliyojaa unafiki na u snitch haihitaji uwe na group la watu kama kumbi kumbi just have few ones ambao watakusaidia na mnasaidiana kwenye matatizo, im not lucky but im blessed to have a friend, a sista ambaye ametokea kunipenda na kunijali she is been with me n my roughs na hapiness......

HATARIII:MACHANGU WAMVAA CHOKI

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wadada wa mjini waliodaiwa kuwa machangu walimpa wakati mgumu, staa wa Bongo Dansi, Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ baada ya kumvamia jukwaani na kumfanyia mambo ya hovyo. 
Staa wa Bongo Dansi, Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ akiimba pamoja na madada hao.
 Tukio hilo lililoshobokewa na wanaume wakware, lilitokea wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Meeda, Sinza – Mori, Dar ambapo mkali huyo aliye Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ alikuwa akiporomosha shoo ya nguvu na kundi lake.
 Muziki ulipokolea wadada hao waliokuwa wamevalia nguo saresare walikwenda jukwaani na kuanza kucheza kabla ya baadaye kuanza kujiachia kihasarahasara.
 
Madada hao wakicheza kwa furaha.
 “Mh! Hawa wadada vipi? Mbona wanaleta mambo ya Kanga Moko hapa? Cheza gani ile ya aibu namna ile...hawa lazima ni machangu. Wamekosa wateja sasa wamekuja kumtega Choki, maana mambo yale kama siyo machangu utawaitaje?” alisikika dada mmoja akisema ukumbini humo.
 Lakini hali ilikuwa tofauti kwa wanaume wakware ambao kwao ilikuwa faraja kujionea mambo ya chumbani hadharani, kwani walikuwa wakiwashangilia.
 Hata hivyo, wakati wadada hao wakiendelea kufanya yao, Choki wa watu hakuwa na la kufanya, zaidi ya kuduwaa na kuwashangaa tu.
 
Madada hao wakilisakata rhumba pamoja na wapenzi wa bendi hiyo. Ili kuonyesha kuwa vichwani mwao hamnazo, wadada hao hawakuona haya kuachia maungo yao wazi, hata pale makufuli yalipobaki nje,  walionekana hawana habari kabisa.
 Ilifikia mahali, mmoja wao akaenda mbali zaidi baada ya kutaka kuvua nguo, hakupewa nafasi hiyo, mabaunsa walimbeba na kumtoa ili wastaarabu waendelee kuburudika na Wazee wa Kizigo.


SNURA MAMA WA MAJANGA NI MJAMZITO,BABA KIJACHO ATAJWA HUYU HAPA

 
Snura Mushi
KWA mujibu wa mtu wa karibu wa mwanadada Snura ambaye jina lake
tumelisunda kapuni ameinong'oneza Website hii kwamba Snura alionyesha dalili zooote za ujauzito wakati wakiwa safarini kutoka Iringa kuja Dar baada ya kutoka katika 


tour ya Kilimanjaro, Dalili hizo moja wapo ikiwa kutapika mara kwaara.. Aliendelea kufunguka kuwa ujauzito huwo asilimia kubwa utakuwa wa DVJ Hunter wa Maisha Club ya Jijini Mbeya. Mmh.. mi napita tu!
 

 


Diva Aacha Gumzo, kwa Hiki alichokifanya...SHUKA NAYO HAPA



1515287_723632967688887_1224391990_nWengi tunamfahamu Diva kama ndiye presenter maarufu katika kipindi chake cha Ala za roho cha Cloudsfm, ila cha kushangaza zaidi, juzi kati alifunguka na kusema kuwa talent yake haishii kwenye utangazaji , alizidi kufunguka na kusema kuwa ana kazi nyingine inayomfanya ajulikane kwenye system ya nchi na kumfanya awe huru sehemu zote za nchi, yani hiyo ni mbali na utangazaji wake kwenye redio kama watu wengi walivyozoea, kitendo hiko kilifanya mashabiki wake wengi wabaki na maswali mengi bila kujua ni kitu gani haswa, huku diva mwenyewe akiwaacha mashabiki hewani kwa kutotaja kazi yake hiyo isiyojulikana..Je unadhani ni kazi gani hiyo?
927961_1511116499112249_147317037_n