Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, 31 May 2014

LAANA: JAMAA APOST PICHA CHAFU ZA MKEWE NA AMSHTAKI MKEWE KWA KUMNYIMA NGONO..SOMA ZAIDI

theclicktz.com/ 
Kuna kisa kimeibuka ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason, mwenye umri wa miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda kwa kumnyima haki yake ya kingono au kukataa kushiriki tendo la ndoa.
Mwanamke huyo alimfanyia mgao wa wiki moja kila mwezi wa kitendo cha ndoa mumewe kwa hofu ya kushika mimba kwa mara ya tatu.

0 comments:

Post a Comment