Mh! Mwigizaji wa sinema za Kibongo,
Riyama Ally, amejikuta akiwa njia panda baada ya kutakiwa kunywa pombe
ya kienyeji aina ya ugimbi ambayo hajawahi kunywa maishani mwake.
Riyama aliingia kwenye mtihani
huo juzikati pande za Songea alipokuwa amekwenda kikazi ambapo alitakiwa
kunywa pombe hiyo kutokana na matakwa ya filamu lakini akashindwa.
“Ulikuwa mtihani kwa kweli, ili
kuleta uhalisia ilitakiwa ninywe pombe hiyo lakini kiukweli nilishindwa
kwa kuwa sijawahi kunywa hata siku moja, ilibidi nizuge na kopo tupu,”
alisema Riyama ambaye ni mkali wa kuzitendea haki sini za siriasi.
Tuesday, 22 April 2014
Mitungi yamuacha DILEMA Msanii RIYAMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment