IMEKAA poa sana! Shosti anayesukuma maisha
kupitia mgongo wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameahidi kufanya
mabadiliko ya mavazi kuanzia kwenye filamu hadi maisha yake binafsi.
“Nitafanya filamu za kumtukuza Mungu hata kama zitakuwa si za kumtukuza moja kwa moja ila zitakuwa na maadili mazuri yasiyopotosha jamii na kumuudhi Mungu, sitavaa vimini tena,’’ alisema Mainda.





0 comments:
Post a Comment