Mastaa Jay Z na mkewe Beyonce ambao ni
marafiki wa karibu wa Kanye West hawakuhudhuria harusi ya kifahari ya
staa huyo aliyemuoa Kim Kardashian jana kwenye ukumbi wa Fort Belvedere
nchini Italia. Mbali na mastaa hao, pia kaka wa bibi harusi Kim, Rob
naye aliingia mitini.






0 comments:
Post a Comment