MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili
2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu
utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya
matusi.
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba
usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi
wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe.
“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha





0 comments:
Post a Comment