Kwao
ni kitu cha kawaida na hawaoni aibu kuanika maungo yao katika mitandao
ya jamii na hawaoni aibu hata kushiriki mapenzi ya jinsia moja,tumesikia
ushoga ndani ya bongo movie,tumesikia usagaji ndani ya bongo movie na
sasa ni picha za uchi ndani ya bongo movie,badala ya kukaa na kutafuta
connection za kufanya kazi kimataifa wao wanatafuta tension na umaarufu
kwa kufanya mambo yaliyo kinyume na jamii. Viongozi
wao inaonekana kulemewa kama si kushindwa kukemea na kurudisha heshima
katika kikundi hicho cha wasanii na kila mmoja kujiamulia na kufanya
mambo ya aibu kwa kadri ya uwezo wake.
Saturday, 17 May 2014
BAADA YA USAGAJI KWANYE BONGO MOVIE SASA NI PICHA ZA UCHI..TIZAMA PICHA ZA IRENE UWOYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment