Wakali
wa kundi la mafikizoro usiku wa kuamkia leo walikamua ndani ya Ukumbi
wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu ilifurika ukumbini
kuwashuhudia wakali hawa mafikizoro.…
Wakali
wa kundi la mafikizoro usiku wa kuamkia leo walikamua ndani ya Ukumbi
wa Mlimani City jijini Dar, ambapo nyomi ya watu ilifurika ukumbini
kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizoro. ...Wakali wa kundi la mafikizoro wakiendelea na kukamua.
...Nyomi ya watu ilifurika ukumbini
Mashabiki wa Mafikizoro wakicheza moja ya wimbo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
Friday, 18 April 2014
PICHA!! SHOW YA MAFIKIZOLO ILIVYOFUNIKA JANA HAPO MLIMANI CITY..TAZAMA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment