SIKU chache baada ya mwimbaji wa nyimbo
za Injili, Rose Mhando kunusurika kutekwa, ujumbe wa tishio la kuuawa
kwa Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa
Upako’ umesambazwa.
Uliendelea kufafanua kwamba sababu za kuuawa kwa mtumishi huyo wa Mungu ni kwa vile ameonekana kujipendekeza kumsaidia Rose baada ya tukio lake.
“Hawana uwezo wa kumuua mchungaji wetu maana amefunikwa na damu ya Yesu,”alisema muumini huyo.
Waandishi wetu walifunga safari mpaka kanisani kwa Mzee wa Upako na kufanikiwa kuzungumza na msaidizi wa mchungaji huyo ambaye hakutaka kutajwa gazetini, aliyekiri kusikia madai hayo, lakini akasema hawayaamin





0 comments:
Post a Comment