Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Wednesday, 30 April 2014

CHALZ BABA AMRUSHIA VIJEMBE WEMA SEPETU:"SIKUWAHI KUMTONGOZA WEMA SEPETU NA MWANAUME ANAYEMTONGOZA HANA KAZI MAANA WEMA ANAJIPELEKA MWENYEWE, SIYO DEMU"

Rais wa Mashujaa Band Charles Gabriel aka Chalz Baba ameibuka baada ya kuuliza swali na mwandishi wetu kuhusu ni nani alianza kumtongoza mwenzake hadi kuanza mahusiano yenu.
Chalz Baba alifunguka hivi “Sikuwahi kumtongoza bali nilikuta nimesha-date nae hata hivyo kwa mwanaume anaye mtongoza Wema hana kazi, coz mimi siamini kama Wema anatongozwa naamini huwa tu anaenda mwenyewe ahahaaahaahah yule siyo demu kabisa duh! asijisifu kuwa nilishawahi kumtongoza unanionaje kwanza nina jina kubwa bwana watu wanajileta wenyewe.” Chalz.

0 comments:

Post a Comment