Muigizaji
wa kike mwenye umbo matata na sura yenye mvuto, Irine Uwoya ana
machaguo yake na ameweka wazi sifa za mwanaume ambaye anaweza
kumvutia/kutamani kuwa nae.
“Awe
kijana mzuri asiye na kitambi.” Uwoya ameliambia jarida la VibeTz
lililotoka leo.Hata hivyo, mrembo huyo mtoto mmoja ameshanyakuliwa na
Msami ndio mwenye bahati.Uwoya hakusita kujivunia mkwanja alionao.
Aliambiwa kuchagua kwa sasa kati ya umaarufu na mtonyo alichagua
umaarufu na kueleza kuwa ‘mtonyo anao mwingi tu





0 comments:
Post a Comment