Wanasema
kua kikulacho ki nguoni mwako, msemo huo kwa Wema utakua unamgusa sana.
Kitambo hicho Wema na Penny ( X wa Diamond ) walikua mashosti ile mbaya
lakini ushosti huo uliishia pabaya pale Wema alipogundua kua Penny
anakula kijanja muhogo wake ( Diamond Platnumz )
Japo
kua hii si ishu mpya sana but nmeona leo nwaletee picha za wawili hawa
Wema na Penny walipokua mashost kabla. Kwa sasa Wema kashikilia usukani
wa Moyo wa Diamond na inasemekana mwakani huenda tukawalia wali ( Ndoa )
Tazama picha hizo hapo chini
Monday, 26 May 2014
Unaambiwa Wema Sepetu Utamkuta Na Mastaa Wote Wa Bongo Lakini Kamwe Huwezi Kumkuta Na Staa Huyu Hata Siku Moja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment