KWA mara nyingine, staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’
amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpenda mwanaume kama
alivyompenda Nice Mohammed ‘Mtunis’.
Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Batuli alisema licha ya kuwa
walimwagana na staa huyo lakini hatokuja kupenda mwanaume kama
alivyompenda Mtunis.
“Nilivyompenda Mtunis ni ngumu sana kumpenda mwanaume mwingine kama
hivyo na kwa kawaida kupenda huwa ni mara moja tu mengine
Saturday, 17 May 2014
SIJAWAHI KUPENDA KAMA NILIVYO MPENDA MTUNIS...!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment