Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa
‘kigumu’, alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi
kumlilia mwanaume hata iweje.
“Sijawahi
kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume, akili yangu yote
inaamini katika kutafuta maisha hivyo siwezi kujirahisisha nikamwaga
machozi kwa ishu za mapenzi,” alisema Wolper
Saturday, 17 May 2014
Mimi naamini katika kutafuta maisha,siwezi kujirahisisha nikamwaga machozi kwa ishu za mapenzi…”Jack Wolper
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment