Kim na Kanye wakijiandaa kuelekea kwenye gari tayari kwa kufika uwanja wa ndege na kusafiri kwenda kufunga ndoa.
Wakati
leo ndiyo siku ya harusi ya rapa Kanye West anayemuoa Kim Kardashian
katika sherehe itakayofanyika Florence nchini Italia, msanii huyo wa
kiume amesema mkewe mtarajiwa ni mzuri kuliko kipaji chake.
Jumla
ya wageni 600 walikuwepo katika pati maalum iliyofanyika jana katika
ukumbi wa Hall Of Mirrors ambako wawili hao walithibitisha kufanyika kwa
ndoa yao leo.
Hata
hivyo, katika sherehe hiyo, Best Man, Jay Z na mkewe Beyonce
hawakuwepo, ingawa bvado kuna matumaini kuwa wapambe hao wa karibu wa
wanandoa watarajiwa, watakuwepo harusini baadaye leo.





0 comments:
Post a Comment