PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda
imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya umeneja.
Baada ya picha hiyo kutupiwa kwenye mtandao wa Instragram na watu
kutilia mashaka busu hilo, paparazi wetu alimvutia waya Wema,
alipopatikana alijibu:“Martin ni meneja, baby wangu kila mmoja anamjua, ni Diamond.





0 comments:
Post a Comment