BAADA ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu, msanii wa
filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ kwa mara ya kwanza amemwanika mkewe,
Irene na kumwagiwa pongezi.
Msanii maarufu wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’.
JB alipongezwa na mastaa tofauti mara baada kumuanika mkewe huyo katika mitandao ya kijamii.
“Mh! Leo JB ameamua kweli maana tangu afunge ndoa hatujawahi kumuona
mkewe, hongera sana, Mungu awajalie,” alisema Mayasa Mrisho
Wednesday, 30 April 2014
MSANII JB APONGEZWA KWA KUMWANIKA MKEWE…!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment