Imeelezwa kuwa Diamond hapindui kwa halima kimwana kutokana na
ukaribu wao wa mda mrefu, Wakati mpenzi wake Wema sepetu akiwa hapatani
na kimwana kama paka na panya, hiyo haijasababisha Diamond kuwa mbali na
kimwana, kwani ameshawahi kukiri kuwa hakuna atakayeweza kuwatenganisha
na best wake huyo wa long time.
Kama ilivyo kwa kimwana, Diamond hawezi kupindua kwa wema sepetu
.wakati kimwana yupo very close na familia ya Dangote, kitendo ambacho
kinamuumiza zaidi madame kwani familia ya diamond imekuwa ikimchukia
madame na kumkubali zaidi penny na halima, kitendo kinachomfanya penny
awe karibu na kimwana kwni anajua fika diamond hapindui
Friday, 18 April 2014
Home KITAIFA KIMATAIFA SIASA MAPENZI MICHEZO MITAANI WASANII HUYU NDIO MBABE WA WEMA SEPETU KWA DIAMOND…!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment