Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Tuesday, 25 March 2014

"TUMEGUNDUA KUWA MIMI NA DIAMOND NI NDUGU WA DAMU...." PENNY

Diamond na Penny katika pozi la kimahaba. MAAJABU! Jambo zito limefichuka kuwa mastaa walio katika uhusiano wa kimapenzi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Penniel Mwingilwa ‘Penny’ ni ndugu, AMANI limepekua na kupata mkanda kamili. Diamond kwa sasa ndiye mwanamuziki aliye matawi ya juu zaidi kuliko yeyote kwenye Bongo Fleva, akisumbua vibaya...
 
 
 
 
 
 
 
 
 

0 comments:

Post a Comment