hivi karibuni ,amekanusha uvumi huo, ambao uliambatana na picha zinazo muonyesha Penny akimbusu Kitale.
“Penny
mimi sina mahusiano nae yoyote, siyo kweli sina mahusiano nae , mimi
nina ndoa yangu na nina mke wangu na nina mtoto, naiheshimu ndoa yangu”Alisema Kitale
0 comments:
Post a Comment