Wengi
tunamfahamu Diva kama ndiye presenter maarufu katika kipindi chake cha
Ala za roho cha Cloudsfm, ila cha kushangaza zaidi, juzi kati alifunguka
na kusema kuwa talent yake haishii kwenye utangazaji , alizidi
kufunguka na kusema kuwa ana kazi nyingine inayomfanya ajulikane kwenye
system ya nchi nakumfanya
awe huru sehemu zote za nchi, yani hiyo ni mbali na utangazaji wake
kwenye redio kama watu wengi walivyozoea, kitendo hiko kilifanya
mashabiki wake wengi wabaki na maswali mengi bila kujua ni kitu gani
haswa, huku diva mwenyewe akiwaacha mashabiki hewani kwa kutotaja kazi
yake hiyo isiyojulikana..Je unadhani ni kazi gani hiyo?
0 comments:
Post a Comment