Watu
wengi sana watakuwa wanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari kali
za nguvu kwa watu wake kupitia kipindi chake cha ClaoudsFm cha
Amplifaya, Milard Ayo amezidi kujipatia sifa kwa uwezowake na kwa staili yake ya pekeeya kufikisha habari, ila
wengi walikuwa hawafahamu kile apendacho, mbali na kuwa hodari kama
mtangazaji Milard Ayo hupenda sana nyumba, anandoto siku aje kusimamisha
mjengo wake wa nguvu hapa town. Ni siri aliyoifichua Mrs Dangote aka
Wema Sepetu wakati akimpa shavu ili watu wazidi kumpigia kura
kuchagua#AMPLIFAYA kama kipindi cha Radio kinachopendwa.
0 comments:
Post a Comment