Snura Mushi
KWA mujibu wa mtu wa karibu wa mwanadada Snura ambaye jina lake
tumelisunda
kapuni ameinong'oneza Website hii kwamba Snura alionyesha dalili zooote
za ujauzito wakati wakiwa safarini kutoka Iringa kuja Dar baada ya
kutoka katika
tour
ya Kilimanjaro, Dalili hizo moja wapo ikiwa kutapika mara kwaara..
Aliendelea kufunguka kuwa ujauzito huwo asilimia kubwa utakuwa wa DVJ
Hunter wa Maisha Club ya Jijini Mbeya. Mmh.. mi napita tu!


0 comments:
Post a Comment