Kama
ulikuwa hujui ngoja nikufahamishe, Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa
huko nchini Uingereza umebaini kuwa kulala chumba chenye mwanga
uliopitiliza kumehusishwa na mtu kuongeza unene wa kupindukia.
Timu
ya watafiti kutoka Taasisi ya saratani ya jijini London imebaini kuwa
wanawake wana nafasi kubwa ya kuongezeka unene kwa kulala vyumba vyenye
mwanga mkubwa.
Hata
hivyo utafiti huo unaonya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuwa sasa
watu waanze kununua mapazia mazito au ulazima wa kuzima taa wakati wa
kulala.
0 comments:
Post a Comment