leo ninakuletea mada flani niliyoipata kwa kaka flani kuhusiana na
uzuri na utamu wa mwanamke.
kaka huyo alitanguliza samahani kwa akina dada wote ambao
watakwazika na mada yake. alisema,
'siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama wengi
sana kujiremba kwa namna mbalimbali ili wapendeze ama wawavutie wanaume!
wamekuwa wakipaka rangi tofauti tofauti kwenye miili
yao, nywele zao kucha zao, midomoni yao, nk.
wengine wamefikia hatau ya kunywa au kupaka dawa za kichina za
kuongeza makilio na maziwa ili kuleta mvuto na uzuri wautakao.
hata hivyo, wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa
mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika nywele kama wafanyavyo
wanawake wa kizungu kwenye muvi.
kwa msisitizo zaidi huchanganya kiswahili na kingereza. kwa mfano
utasikia, "ofukozi ai lavu him bati, siwezi kuendelea naye"!!
chakusikitisha wanabadilisha mpaka sauti zao!
ninajua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na
wengine kwa lengo la kuwavutia wanaume. na nina hakika huwa wanawapata wanaume
wengi sana kutokana na hilo! shida ipo kwangu jamani...
mimi kama mimi sijui ni kwa nini huwa hili linanitokea, lakini ni
kwamba jinsi wanawake wanavyozidi kujiremba ndivyo na mimi ninaishiwa hamu
ya kwenda nao kitandani!!
kiukweli ni kwamba nikilala na mwanamke ambaye ni nachuro, yaani
mwenye nywele zake za kawaida zilizosukwa kwa mtindo wa "twende
kilioni" au zilizobanwa vizuri, mwenye wowowo, chuchu na sauti
nachuro, huwa napata nguvu nyingi sana za kupanda mlima, ikilinganishwa na
ninapolala na mwanamke mwenye urembo na uzuri bandia.
sijui kama ugonjwa huu umewashika na wanaume wenzangu ama ninaumwa
mwenyewe!!' alimalizia kihivyo kuuelezea ya moyo wake






0 comments:
Post a Comment