ooh
salama amekaa kidumedume nani kasema, ebwana kumbe umzaniaye sie bhana,
mtangazaji maarufu wa kipindi cha mkasi salama jabir hii leo kaonyesha
kumbe ana hisia za kimapenzi, salama alighirisha wazi kumzimia mchezaji
maaruu wa timu ya realmadrid na timu ya taifa ya ufaransa Karim Benzema,
ni katika mechi thidi ya Switzerland na timu ya taifa ya
ufaransa ,, salama likua akiangaika
kutweet kwenye wall ya mchezaji huyo huku akionyesha wazi kuwa anamzimaia
cheki hapa baadhi ya tweet zake
Tuesday, 24 June 2014
LICHA YA KUONEKANA DUME NAE ANAHISIA:SALAMA JABIL ADATA KIMAPENZI KWA MCHEZAJI HUYU...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment