
Nasrah
Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa ni baba yake mzazi
Rashid Mvungi.Nasrah Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa
ni baba yake mzazi Rashid Mvungi.
Baba wa mtoto Nasrah, Rashid
Mvungi (47) akiingizwa mahabusu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Morogoro baada ya kupandishwa kizimbani kujibu mashitaka ya kula njama
na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra.
Watuhumiwa wengine kwenye sakata hilo mama mlezi, Mariam Said (38) wa kwanza kushoto na mume wake Mtonga Omar (30) wa kwanza kulia wakisindikizwa mahabusu chini ya ulinzi wa polisi baada ya kusomewa mashitaka.
MTOTO Nasrah
Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne
amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa
aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na
miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki. MUNGU AILAZE ROHO YA
MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN
0 comments:
Post a Comment