
Mastaa wawili wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakiwa katika Msiba wa Adam Kuambiana.
Mwanaume mmoja (jina lake halikupatikana) alianza kumtukana Wema kuwa hana uzuri wowote kama walivyokuwa wakimuona kwenye runinga.

Kitendo cha njemba huyo, kilimkera Wema na kuanza kujibishana naye, Aunt akaununua ugomvi na kujikuta naye akitemewa mbofumbofu.
Hata hivyo, mwisho wa sakata hilo Wema na Aunt waliamua kunyamaza kwani walibaini kuwa walikuwa wakijibishana na mtu ambaye ‘network’ yake ilikuw





0 comments:
Post a Comment