Nikitu cha kawaida kwa mastaa wetu wa hapa bongo ku -FAKE maisha yao ya kwaida na kuonyesha vitu/mambo mazuri mazuri kama....anakula bata na jamaa zake, yupo nje ya nchi,yupo home (Kama home pazuri kiaina lakini) kwenye mitandao ya kijamii....Kwa mfano mida ya Lunch Time wengi hushare picha akikaribisha watu wakati anakula misosi kama BAGA, Chips Kuku, Mbuzi choma NK...hata sikumoja usitegemee staa wa bongo akapost anakula MIHOGO..HEHEHEHE...Turudi kwenye Ishu...
Tazama picha hizi kawa UMAKINI then utagungua KITU....
Hapa anasema;
Then
Hahahaha! Nouma sana....Huyu alilala au alifumba macho na kufumbua...Tuwe REAL JAMANI
0 comments:
Post a Comment