MAMAA Majanga, Snura
Mushi amekiri kutoka katika uvungu wa moyo wake kuwa amedhibitiwa
vilivyo na penzi la jamaa anayetoka naye kwa sasa aitwaye DJ Hunter
hivyo hawezi kuachika.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Snura
alifunguka kwamba tofauti na wanaume wote aliowahi kuwa nao, DJ Hunter
wanapendana kwa dhati na anaamini ndiyo chaguo sahihi kwake. “Sijawahi
kuwa na mpenzi nikamtambulisha kwenye media bila kuwa nimempenda kwa
dhati, tunapendana sana na Hunter, hatuwezi kuachana kwa mipango ya
binadamu,” alisema Snura.
0 comments:
Post a Comment