STAA
wa Number One Remix, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema vipo vitu
vingi anavyovipenda kwa mpenzi wake, Wema Sepetu lakini suala la mapishi
ndilo linachukua nafasi kubwa.

“Wema
nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho
ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,” alisema mwanamuziki
Diamond.
0 comments:
Post a Comment