KWA mara nyingine, staa anayekimbiza
kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’
ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki
wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa sasa hasikii wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana kuwa na tofauti kubwa ya kiumri , Shilole akionekana kuwa mkubwa zaidi ya Nouh.
“Shilole ni kama anambemenda Nouh lakini ndiyo hivyo, haoni wala hasikii, kila siku wako pamoja kama kumbikumbi,” kilisema chanzo chetu.
Waandishi wetu waliwafuatilia wawili hao kwa nyakati tofauti na kufanikiwa kuzinasa picha zao walizozipiga katika mikao ya kimahaba.

Baada ya kuzinasa picha hizo, waandishi wetu walimtafuta Nouh na kumweka mtu kati kuhusu uhusiano wake na Shilole.
“Ni kweli ninatoka na Shilole ni mpenzi
wangu na sidhani kama nitakuja kuachana naye maana tunapendana sana na
nimevutiwa na mavituz yake,” alisema Nouh.
Kuhusu tofauti ya umri wake na ule wa Shilole, Nouh alisema umri huwa haumati katika mapenzi.
“Mapenzi ni mapenzi na umri utabaki kuwa namba tu, ni vyema mtu ukaongozwa na hisia zako kuliko kuhofia umri wa mtu ndiyo maana miye ninakula vinono,” alisisitiza.

Pia, Nouh alisema hakutarajia kukubaliwa
na Shilole baada ya kumtokea walipokutana katika studio moja jijni
Dar na sasa wamekolea kwenye penzi motomoto.
“Nampenda Shishi, nafanya kila njia nimshawishi awe mke wangu wa ndoa,” aliongeza.

Hata hivyo, Shilole alipozungumza na
waandishi wetu alipatwa na kigugumizi kukubali uhusiano wake wa
kimapenzi na kinda huyo wa Bongo Fleva.
Shilole alisema Nouh ni rafiki yake kama walivyo marafiki zake wengine.

Waandishi wetu walipomuonesha picha zao
walizokuwa wamekaa katika mikao ya kihasarahasara, Shilole aliangua
kicheko na kisha akasema:
“Mh! Sina la kuwajibu kama picha zinasema mimi na Nouh ni wapenzi haya.”

0 comments:
Post a Comment