Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za
miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba
mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na maumbile, au
analika pande zote tetesi hizi zimeleta mchanganyiko kidogo kwenye
urembo huu.
Watu wengine wamediriki hata kukataza kabisa wapenzi wao wasivae
urembo huo, mimi binafsi siwezi kuongozana na mtu amevaa kitu kama
hicho. Haya sasa kazi kwako mdau, wewe unaonaje ni sawa urembo huo
kutumika, na je mwenza wako akivaa
Thursday, 27 March 2014
KUVAA CHENI ZA MGUUNI (KI KUKU), INA MAANISHA NINI?!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment